Huduma hii ni sawa tu na vile mtu anavyoweza kuvutiwa na maelekezo ya kupia katika kitabu cha upishi na bado afe njaa. Vivyo hivyo mtu anaweza vutiwa na maelekezo ya Biblia kwa ajili ya maisha ya mafanikio na akose chakula cha kiroho!’ Kuza Imani yako ‘ ni mwongozo wa Biblia ambao umeandikwa kwa ajili ya kukusaidia kulitafuna Neno la Mungu kutoka kwa mkono wako – mpaka kwa kichwa chako – hadi moyoni mwako.

Tovuti

www.ccim-media.com

Wanenaji

Dr. Richard A. Bennett

Shirika kuu

Huduma Ya Kimataifa ya Cross Currents