Biblia inatufahamisha ya kwamba Mungu Atakaa ndani ya mioyo yetu milele. Kinachofuata ni kuwa, kwa vile wanadamu ni viumbe vya milele, mambo ya dunia hayawezi kuwaridhisha kikamilifu. Kuna utupu ambao Mungu tu ndiye anaweza kujaza. St Augustine alinena kikamilifu aliposema, "O Mungu, Wewe ulisema kuwa utatufanya kuwa wako, na nafsi zetu zitahangaika mpaka zitulie kwako." ‘Kiu cha kumtafuta Mungu’ kinatusaidia kufuatilia hiyo kiu mpaka tupate mapumziko katika maisha ya uhusiano wa kibinafsi na Mungu wa milele.

Tovuti

ccim-media.com

Wanenaji

Dr. Richard A. Bennett

Shirika kuu

Huduma Ya Kimataifa ya Cross Currents

Jisajili kwa barua pepe

Sign Up for our Newsletter

Pata taarifa, habari,mafundisho ya kibibilia, ujumbe wa kusisimua kutoka kwa sauti ya kikristo yenye nguvu zaidi duniani

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habtri inayohitajika haipo