Muhtasari: Hesabu

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Hesabu, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Kitabu cha Hesabu, Waisraeli wanasafiri nyikani wakielekea katika nchi aliyoahidiwa Abrahamu. Uasi wao wa mara kwa mara unakutana na hukumu na rehema ya Mungu. #BibleProject #Biblia #Hesabu Wahusika Katika Utayaris…Soma zaidi

Muhtasari: Ufunuo 12-22

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ufunuo 12-22, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Ufunuo, maono ya Yohana yanafunua kuwa Yesu ameshinda uovu kwa kifo chake na kufufuka kwake, na siku moja atarudi kama mfalme wa kweli wa ulimwengu. #BibleProject #Biblia #Ufunuo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Ufunuo 1-11

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Ufunuo 1-11, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Ufunuo, maono ya Yohana yanafunua kuwa Yesu ameshinda uovu kwa kifo chake na kufufuka kwake, na siku moja atarudi kama mfalme wa kweli wa ulimwengu. #BibleProject #Biblia #Ufunuo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Wakolosai

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wakolosai, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika waraka huu, Paulo anawahimiza Wakristo wa Kolosai kumwona Yesu kama kiini cha uhalisia wote, ili wasijisalimishe kwa mashinikizo kutoka kwa dini zingine. #BibleProject #Biblia #Wakolosai Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Wafilipi

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wafilipi, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika waraka huu, Paulo anawashukuru Wakristo wa Filipi kwa ukarimu wao na anawashirikisha jinsi walivyoitwa kuiga upendo wa Yesu wa kujitoa kwa wengine. #BibleProject #Biblia #Wafilipi Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Waefeso

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waefeso, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Waefeso, Paulo anaonyesha jinsi habari njema inavyopaswa kujenga jamii zenye makabila mbalimbali ambazo zimeunganishwa kwa msingi wa kujitoa kwao kwa Yesu na kujitoa kwao kwa kila mmoja wao. #BibleProject #Biblia #Waefeso Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Wagalatia

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wagalatia, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Wagalatia, Paulo anawapa changamoto Wakristo wa Galatia waache kuruhusu ufuataji wa sheria tatanishi za Torati ulete mgawanyiko miongoni mwa washirika wa kanisa lao. #BibleProject #Biblia #Wagalatia Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: 2 Wakorintho

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 2 Wakorintho, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 2 Wakorintho, Paulo anasuluhisha mzozo wake na Wakorintho kwa kuonyesha jinsi kashfa juu ya kusulubiwa kwa Yesu zinapindua mifumo yetu ya maadili. #BibleProject #Biblia #Wakorintho Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: 1 Wakorintho

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1 Wakorintho, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika 1 Wakorintho, Paulo anawaonyesha Wakristo wapya katika mji wa Korintho kwamba matatizo yote magumu ya maisha yanaweza kuangaliwa kupitia lenzi ya injili. #BibleProject #Biblia #Wakorintho Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Warumi 5-16

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 5-16, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho. #BibleProject #Biblia #Warumi Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

Muhtasari: Warumi 1-4

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 1-4, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho. #BibleProject #Biblia #Warumi Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo