Hakuna tunaloweza kujivunia tutaendelea kujadili neem na kuhesabiwa haki kwenye vipindi jijavyo.Kwa sasa tukomee hapa.Lakini swali langu kwako ni je?waielewa hii haki inayohesabiwa waaminio?
Usisite kuniandikia na kunifahamisha chochoe kuhusu kipindi hiki. Lakini nakuuliza Je? Unalo hili tumaini nililolizungumzia? Una hakika utamwona Kristo atakapordi kuwachukua walio wake? Wale ambao wameokoka na wanafanya kazi yake?