UTANGULIZI

Baada ya kuandika Waraka wa kwanza kwa Wakorinntho, Paulo aliona muhimu kuwatembelea washiriki wa Kanisa la Korintho kwa sababu matatizo kanisani yalikuwa bado yapo. Pamoja na hayo, Paulo akaandika waraka mwingine wa pili lakini ukapotea kama anavyosema katika sura ya 2:4 “Maana katika dhiki nyingi na taabu ya moyo niliwaandikia na machozi mengi. S…Soma zaidi

KUKUDUMU PAMOJA

Historia ya kanisa yaonyesha wanafunzi wake Yesu, hata wale walikuwa vigumu kuamini Yesu alifufuka, hatimaye waliamini na kuitikia wito wa kueneza injili. Tomaso akaenda India hata kuna kanisa nchini India kwa jina-Mtakatifu Tomaso. Yohana, aliyeitwa Mariko akaenda Misri safari ya kuhubiri habari njema ya wokovu katika Kristo Yesu. Na kanisa likaenea katika utawala wa kirumi. Hata karibu na bahari, na bahari ya chumvi, kaskazini, magharibi, kukawa na kikundi cha watu waliojitenga kuwa watakatifu.

USHAURI KWA SHARIKA ZETU

Mtume Paulo aliwafundisha wakorintho yale yote aliwafundika washiriki wa aliwafundika washiriki wa makanisa au shaika zote alizoanzisha bila unbaguzi n ahata waleo mafundisho ya waraka huu kwa wakorintho ni muhimu kwa kila sharika hata wa leo.

KILELE CHA FURAHA YETU

Twapata maneno yanayofundisha kwamba siku itafika amabyo furaha yetu itafikia kilele chake cha milele wakati huo tutaona ahadi zake Mungu zikitimia. Yale yote Mungu ametuahidi yatatimia tupende tusipende Kristo yu hai, na alifufuka kama alivyokua amesema na kuahidi. Ahadi zake ni kweli.

MATUMAINI YALIYO MAGUMU

Katika Biblia, twajifunza mengi kwa mifano. Na hii ndiyo sababu Yesu Kristo bwan wetu alitumia mifano. Ufalme wa mbinguni ni kama….” Lakini kwa uwezo na nguvu za Roho Mtakatifu tutalichambua fungu hili la neno 1 wakorintho 15:35-50,

SAHIHISHA NAMNA UNAISHI

Ni muhimu kujua ya kwamba, neno lasema katika Warumi 14:12 “ Basi ni hivyo kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele yz Mungu.” Na kunao wimbo, unaohimiza, ukweli huu na hata kumalizia na maneno; “Siku hiyo itakuja Kila mtu atauchukua, mzigo wake mwenyewee, Na kila mtu atatoa, maneno yake mwenyewee, Mbele za Mungu, Siku hiyo inakuja.”

KUAMINI NI LAZIMA

Kwa sababu hatuna ushihidi mwingine wa kufufuka kwake Yesu, ila kaburi tupu basi twategemea Imani yetu kwamba Yesu alifufuka. Twaamini ya kwamba kulingana na vile tunasoma katika Bibilia Bwana wetu Yesu Kristo alifufuka kwa ushindi mkuu. Lazima tuuamini ukweli huu.

SULUHISHO KWA LISILOWEZEKANA

Uvumbuzi wa vyombo vya mawasiliano umetuletea mengi yaliyo muhimu na ya maaana sana. Unaweza kuzungumza na mtu akiwa mbali sana, bila shida yo yote. Lakini bado ni tofauti katika akili zetu. Jambo haliwezi kuwa “kweli” na liwe la “uongo” kwa wakati huo huo. Paulo alikuwa na elimu yake kiasi, na alipojifoa pamoja na elimu yake,kwake Roho Mtakatifu, akaitumia kueneza ukweli wa Injili ya Habari Njema.

KRISTO YUHAI

Tangu jadi watu wengi wamepuuza kufufuka kwake Kristo. Natumia jina hilo ‘kristo’ maa limetafsiriwa kutoka neon la kigiriki ambalo ni sawa na la kiebrania ‘masiya’ maana yake ni ‘aliyetiwa mafuta. Kristo alitulelea huduma maalum ya kuntoende dhambi na kutuokoa tunapotubu dhambi na kumwamini na kumkiri na midomo yetu kuwa ni Bwana. Mwana wa Mungu, akachukua mwili wa kibinadamu, akazaliwa na Bikira Mariamu. Alisulubiwa msalabani kwa niaba na kwa ajili ya dhambi zetu. Siku ya tatu kafufuka kutoka kwa wafu, na huko ndiko atatoka kuja hapa duniani kulinyakua kanisa lake. Yesu Kristo yu hai

KANISA LA KWELI

Kanisala kweli. Mtu mmoja alisema hakuna kanisa au dhahebu kamilifu na hii ndiyo sababu sijajiunga na lolote. Mkristo rafiki yake akaamwambia utakalipata kanisa au dhehebu lisilo na kosa, usijiunge nalo maana duniani hii hakuna. Rafiki mwenzake aliendelea kumwambia ukilipata kanisa lililo kamilifu usijiunge nalo wewe mwenyewe maana utaliharibu.

IBADA KWA WOTE

wakati wa shida wangu/ watu huongezeka katika ibada makanisani haswa wakati wa mateso ya wanaomwamini Yesu. Zaidi sana wakristo walipigania Imani, miaka ya 1500, mpaka 1600 AD. Wakristo wakaanza kukutana katika vikundi vidogo vidogo kisiri, wakijificha. Hata hivyo sharti tujue, kanisa ni la wote wanaomwamini Yesu na wameitwa watoke waeneze Injili. Tumeitwa tujitokeze kwa huduma mbalimbali Lakini ni muhimu kukutana mara nyingi iwezekanavyo, kutiana nguvu katika ushirika wa undugu

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo