Kuanguka kwa shetani

makala haya ayanazungumzia kuanguka kwa shetani alipotaka kufanana na mungu na kuwa na uweza sawia na mungu.

malengo ya mitiume wa yesu

Je, yesu alikuwa na malengo gani kwa mitume wake? makala haya yanafanua haya kwa undani na pia kuangazia malengo ya mitume wa yesu.

KUWA MACHO

. Leo twalichambua fungu la neno la Mungu kutoka kwa waraka wa Paulo kwa Warumi 16:17-23. KUWA MACHO

FAMILIA YA MUNGU.

Mnamo mwaka wa 1974, mlikutana na ndugu mmoja kutoka kanisa la GRACE CHURCH marekani, wakati huo nilikuwa nahudumu na shule ya Biblia Nairobi. Jina la yule ndugu alikuwa carl Katter. Kwa sababu ya undugu wa ukristo alijitoa kutusaidia kifedha na kiroho. Marehemu carl Katter alitutangulia kwenda mbinguni, lakini bado twamkumbuka kama ndugu katika familia ya wandungu katika Kristo. Katika fungu hili la neno twajifunza umuhimu wa kuwa mshiriki wa familia ya Mungu.

FURAHA YA USHIRIKA

tena malaika wa mungu alipowatokea wachngaji wa kondoo mlimani uliopo nje ya bethlehemu aliwapasha habari njema za kuzaliwa kwake Yesu kristo. Malaika aliwaambia wachungaji injili ya luka 2:10 Malaika akawaambia. Msiogope kwa kuwa mimi nawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa wote Kwa hiyo si vibaya kufurahi. Ni vizuri kuwa na furaha. Ni vyema na ni muhimu kuwa na ushirika wa furaha na wakristo wenzako. Paulo atuonyesha namna katika wataka huu kwa warumi 15:22-33

NIA YA UENEZAJI INJILI

Nini nia ya uenezaji wa injili? Waraka wa Paulo kwa warumi 15:14-21. Ni ujumbe ambao wanajihusisha na huduma ya uenezaji wa injili

CHANZO CHA UKWELI

Tunaweza kuupata ukweli namna gani? Hebu tujaribu kupata jibu kwa kulichambua neno. Waraka wa Paulo kwa Warumi 15:5-13

JINSI YA KUKUA KATIKA MAISHA YAKO YA KIKRISTO

naamini ya kwamba kila mzazi hufurahia kuona mtoto/watoto wake wakikua na tena kwa afya njema. Hali kadhalika, Mungu hupendezwa nasi tunapokua kiroho. Tutakua kiroho namna gani?

ZINGATIA AMANI

Wote twajua ya kwamba duniani kote tuna ghasia, taabu na taharuki, na twahitaji amani. Mkristo anapaswa kuwa na amani moyoni licha ya masumbuko duniani. Lakini swali ni twawezaje kuzingatia amani kati ya shoruba cha machafuko na ghasia duniani.

HAKUNA AISHIYE KIVYAKE

Sisi hjudanganya sana tunapodhani ya kwamba twaweza kufanya jambo lolote bila uwezo au usaidizi wa Mwenyezi Mungu. Hakuna, sisi tuko chini ya mamlaka ya Bwana wetu Yesu Kristo Mungu na Muumba wetu. pamoja na haya tukumbuke ya kuwa hata tukifa tutafufuliwa na tuna uhai baada ya kifo.

WASAIDIE WANYONGE

Naam, Karibu tena. Twawezaje kuwasaidia Wanyonge? Paulo atupa jibu katika Waraka wa Paulo kwa Warumi 14; 1-6

Jisajili kwa barua pepe

Pata taarifa, habari,mafundisho ya kibibilia, ujumbe wa kusisimua kutoka kwa sauti ya kikristo yenye nguvu zaidi duniani

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habtri inayohitajika haipo