Siku moja, mmoja wa mwandishi alimwendea Bwana Yesu, akamwuliza “Amri gani ya kwanza?” Bwana Yesu akamjibu akamwambia, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na nguvu zako zote na akili zako zote Mwandishi akasikia kuwa hayo ni mema lakini hakufurahi alipoambiwa na Bwana Yesu ya kwamba, Amri ya pili ni sawa na ya kwanza. Bwana Yesu akamwambia, “Na umpende jirani yako unavyojipenda