HUDUMU MAHALI ULIPO

Ni vyema na ni vizuri kuwa katika hali ya kutosheka ni kile Bwana Mungu amekufanikisha kupata. Pamoja na hayo kuwa na akili za kutojali, kufikiria mambo sawa kila mahali na kila saa ni hatari. Ni lazima tuwe na bidi kutumika po pote pale. Hebu tulitazame fungu hili la Neno, kwa undani tupate kumakinika vilivyo. Wajibika katika shughuli zako.

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo