tabia ya mkristo msikilizaji, bado twaishi katika ulimwengu wa dhambi, majaribu na masumbuko yatuzunguka. Twabanwa sana na tamaa za dunia, mwili na majaribu ya shetani. Hata hivyo, twahitaji kuishi juu ya hayo yote ndiposa Paulo, atuombea pamoja na wakristo wa Thessalonike 5:23
‘ mungu wa Amani mwenyewe awatakase kabisa, nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu, mhifadhiwe muwe kamili, bila lawama wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo’