TABIA YA MKRISTO

tabia ya mkristo msikilizaji, bado twaishi katika ulimwengu wa dhambi, majaribu na masumbuko yatuzunguka. Twabanwa sana na tamaa za dunia, mwili na majaribu ya shetani. Hata hivyo, twahitaji kuishi juu ya hayo yote ndiposa Paulo, atuombea pamoja na wakristo wa Thessalonike 5:23 ‘ mungu wa Amani mwenyewe awatakase kabisa, nanyi nafsi zenu na roho zenu na miili yenu, mhifadhiwe muwe kamili, bila lawama wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo’

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo