Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 5-16, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho. #BibleProject #Biblia #Warumi Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo