Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 2 Timotheo, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 2 Timotheo, Paulo anakaribia kuuawa, na anatoa changamoto binafsi kwa Timotheo kwamba aendelee kumfuata Yesu bila kujali gharama na hatari zitakazomkabili. #BibleProject #Biblia #Timotheo Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo