Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Waebrania, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Waebrania, mwandishi anaonyesha jinsi Yesu ndiye ufunuo kamili wa upendo na rehema ya Mungu na anastahili kujitoa kwetu kwake. #BibleProject #Biblia #Waebrania Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo