Tazama video yetu ya muhtasari wa Agano la Kale, linalotambulika pia kama Biblia ya Kiebrania, au TaNaK. Video hii inaelezea muundo wa fasihi ya Agano la lake lote pamoja na mtiririko wake wa mawazo. #BibleProject #Biblia #AganolaKale Wahusika Katika Utayarishaji wa Video: Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili Tai Plus na Eternal Entertainment Dar es Salaam, Tanzania Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake BibleProject Portland, Oregon, USA

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo