Ujumbe huu twautoa zaburi. Zaburi ni kitabu cha nyimbo ziliimbwa kama wimbo hata leo, kunayo madhehebu ambayo huimba zaburi. Zaburi hii itatutia nguvu za kiroho kichwa cha zaburi hii ni mfalme wa utukufu. Bwana wetu na mfalme wetu yesu kristo alipaa kwenda mbinguni akionekana na mtume wake na vivyo hivyo ndivyo atakavyorudi tena Yesu Kristo yuarudi tena bila shaka, kutuchukua ili alipo nasi tuwepo.