My360 Helper


You are viewing Maasai. See content in Kiswahili.

Karibu! Ahsante kwa kutembelea katika twr360, chanzo chako cha masaa 24 na siku 7 cha maneno ya kukutia moyo na cha mafunzo ya Bibilia kupita vielezo vya kusikia na kuona ambavyo viko katika ncha ya vidole vyako.

Kupata yanayokupendeza:

Create an Account

Fungua akaunti

Fungua akaunti ili uweze kufuatilia ulichoona, sikia au ulichosoma hapa katika twr360. Ukiwa katika hiyo akaunti ukibonyeza alama ya nyota iliyo karibu na jina la kipindi au huduma utaelekezwa kwenye vipindi uvipendavyo na itakusaidia kutengeneza orodha ya vipindi ambavyo utaweza kuona au kusikiza baadaye. kufungua akaunti.

Na kama umefurahia ulichotazama, au ulichosikiza au ulichosoma, basi julisha wenzako.

Fungua akaunti

TWR360 App

twr360 App pakua programu

Neem twr360 saam met u waar ou ook al gaan deur die toep af te laai vir al u iOS en Android toestelle. Now kan enige persoon Christen media geniet enige tyd, enige plek!

TWR360 App pakua programu

Tazama filamu ya Yesu

Yesu ni nani? Jibu la swali hili utalipata ukitazama filamu ilyotizamwa zaidi duniani.

Angalia

What does God’s Word say to you?

Soma bibilia

Neno la Mungu lakwambia nini? Soma Bibilia ili upate ujumbe wake kwa mwanadamu.

Soma bibilia

Listen Anytime!

Sikiliza muziki wa kuabudu

Sikiliza nyimbo uzipendazo kwa kuchagua moja kati ya hii mikondo minne inayoneysha nyimbo za kuabudu za kisasa.

Sikiza