Lengo letu ni kuheshimu na kutekeleza amri ya mwisho ya bwana na mwokozi wetu, Yesu Kristo, “kuenenda na kufanya watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wake” (Mat 28:19) Tunatengeneza machapishi na kanda zinazozingatia au kulenga neno la Mungu. Rasilimali hizi zinaangazia vipengele vya kabla ya uinjilisti, uinjilisti na uanafunzi . Rasilimali hizi vile vile ndizo njia mwafaka inayotumiwa kuhadithia na kuwasilisha ukweli wa maandiko. Kwa sasa tunatoa aina tano ya rasilimali. Ubunifu huu unarahisisha mipangilio katika utangazaji. Tunalenga kuwaleta watu katika ufahamu wa wokovu na imani katika Yesu Kristo kama Mwokozi na Bwana. Tunafanya haya kupitia kwa michezo ya kuigiza na mafunzo ya biblia inayowasilisha ujumbe wa biblia na hadithi ya Yesu kwa njia inayoeleweka na watu kila mahali, ambapo wanaweza kuhusiana nayo. Watu wanashiriki vipindi hivi kote duniani kupitia radio na vyombo vingine vya habari.

Tovuti: http://christtotheworld.com/

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.