Video hii inatoa muhtasari wa simulizi ya Biblia kama mfululizo wa maamuzi makubwa na ya muhimu. Binadamu huendelea kujifafanulia upya mema na mabaya, jambo linaloishia katika maumivu na kuishia uhamishoni. Kisha anafuata Yesu, anayechukua njia tofauti inayofungua njia ya uumbaji mpya.
#bibleproject #Biblia #nameofvideo