Je, unajua kwamba theluthi moja ya Biblia ni mashairi ya Israeli ya kale? Mashairi ni sanaa tajiri inayotumika na binadamu kufanya mawasiliano, lakini mara nyingi ni vigumu kuelewa mashairi. Katika video hii, tutachunguza sifa za kipekee za mashairi ya kibiblia ili uweze kugundua uzuri na nguvu zake mwenyewe.
#bibleproject #Biblia #nameofvideo