Kuelewa jinsi sitiari zinavyotumiwa katika Biblia ni ujuzi muhimu wa kusoma mashairi ya kibiblia. Wakati wowote mtu anapoelezea kitu kimoja ili kuelezea kitu kingine, anatumia fikra za kifumbo, iwe anatambua au la. Sitiari zipo kila mahali katika Biblia na katika mazungumzo yetu ya kila siku. Katika video hii, tutachunguza kipengele hiki muhimu cha lugha ya kibiblia.
#bibleproject #Biblia #nameofvideo
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA