Yesu wa Nazareti alikuwa mtaalamu wa kuwasilisha simulizi, na mafundisho yake mengi yanayojulikana sana yalielezwa kama mifano. Lakini simulizi hizi zilibuniwa ili kufanya kazi kubwa zaidi tu ya kufundisha. Yesu alisema kwamba mifano hiyo ilibuniwa ili kufichua na kuficha ujumbe wake kuhusu kuwasili kwa Ufalme wa Mungu. Katika video hii, tunachunguza mada kuu katika mifano ya Yesu na kujiuliza kwa nini alitumia mifano kama njia kuu ya kufikisha ujumbe wake.
#bibleproject #Biblia #nameofvideo