Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Mathayo 14-28, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Mathayo, Yesu analeta ufalme wa mbinguni wa Mungu duniani na anawaalika wanafunzi wake kuingia katika namna mpya ya maisha kupitia kifo na kufufuka kwake.
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA
#BibleProject #Biblia #Mathayo