Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 2 Wakorintho, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 2 Wakorintho, Paulo anasuluhisha mzozo wake na Wakorintho kwa kuonyesha jinsi kashfa juu ya kusulubiwa kwa Yesu zinapindua mifumo yetu ya maadili.
#BibleProject #Biblia #Wakorintho
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA