Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wagalatia, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Wagalatia, Paulo anawapa changamoto Wakristo wa Galatia waache kuruhusu ufuataji wa sheria tatanishi za Torati ulete mgawanyiko miongoni mwa washirika wa kanisa lao.
#BibleProject #Biblia #Wagalatia
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA