Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Wakolosai, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika waraka huu, Paulo anawahimiza Wakristo wa Kolosai kumwona Yesu kama kiini cha uhalisia wote, ili wasijisalimishe kwa mashinikizo kutoka kwa dini zingine.
#BibleProject #Biblia #Wakolosai
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA