Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yakobo, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Yakobo anachanganya hekima ya kaka yake Yesu na kitabu cha Mithali katika wito wake unaotoa changamoto ya kuishi maisha ya kujitoa kikamilifu kwa Mungu.
#BibleProject #Biblia #Yakobo
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus na Eternal Entertainment
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA