Hide
View
Pakua programu
bila malipo kupitia App store
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Kutoka 1-18, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha Kutoka, Mungu anawaokoa Waisraeli kutoka utumwani katika nchi ya Misri na anakabiliana na uovu na udhalimu wa Farao.
#BibleProject #Biblia #Kutoka
Ongeza kwa yaliyokupendeza
Imeongezewa kwa yapendezayo.
Imetolewa kati ya ulizopenda.
Subscribe by Email
Subscribed.
Unsubscribed.
Simama na huduma hii
Kuhusu
Mfululizo wa Mapitio yetu unatoa muhtasari wa kiwango cha juu wa kila kitabu cha Biblia na ni sehemu nzuri ya kuanzia ikiwa huna uhakika wa mahali pa kuanzia. Angalia video zetu wakati wa masomo yako binafsi, ukiwa kanisani, shuleni, ukiwa kwenye kikundi kidogo au nyumbani na familia. Video zetu ni mwongozo bora, haswa zinapotumiwa pamoja na ratiba ya kusoma au unapotumia programu ya bure ya Biblia ya YouVersion.
Tovuti bibleproject.com
sajili ya -barua pepe
Sign up for the TWR360 Newsletter
Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.
Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.