Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Sefania, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Sefania anatangaza hukumu ya Mungu itakasayo juu ya Israeli. Hukumu hiyo itaondoa uovu na kuanzisha mustakabali mpya wa baadaye ambapo watu wote wanaweza kushamiri kwa amani.
#BibleProject #Biblia #Sefania