Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Sefania, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Sefania anatangaza hukumu ya Mungu itakasayo juu ya Israeli. Hukumu hiyo itaondoa uovu na kuanzisha mustakabali mpya wa baadaye ambapo watu wote wanaweza kushamiri kwa amani. #BibleProject #Biblia #Sefania

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.