Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Malaki, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Malaki anawashutumu Waisraeli kuwa wabinafsi baada ya kurudi kutoka uhamishoni na anatangaza kwamba siku ya Bwana itawatakasa Waisraeli na kuwaandaa kwa ufalme wa Mungu.
#BibleProject #Biblia #Malaki