Katika video hii, tunachunguza umuhimu wa sheria za kale katika Agano la Kale. Je, ni kwa nini ziko katika Biblia na zina ujumbe gani kwa wafuasi wa Yesu? Tunachunguza jinsi walivyotimiza nia ya kimkakati katika awamu moja muhimu ya simulizi ya kibiblia, ikielekeza kwa Yesu aliyetimiza sheria na kuifupisha katika mwito wa kumpenda Mungu na kumpenda jirani yako kama unavyojipenda. #BibleProject #Biblia #Sheria

sajili ya -barua pepe

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Ahsante kwa kujisajili ili kupata ujumbe kutoka TWR360Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Habari inayohitajika haipo

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.