Katika simulizi ya Biblia, Mungu ameonyeshwa kuwa mwenyeji mkarimu anayetimiza mahitaji ya wageni wake. Hata hivyo, wanadamu wamejawa na huishi kwa fikra za upungufu na njaa na hawapendi kushiriki na wengine walichobarikiwa na Mungu. Katika video hii kuhusu ukarimu, tunachunguza mpango wa Mungu wa kuushinda ubinafsi kwa kujitoa kama zawadi kuu kupitia kwa Yesu.
#BibleProject #Biblia #Ukarimu