Mini Bible College (MBC), mtaala wa utaratibu wa Biblia, kimsingi husambazwa kwa njia ya kazi ya International Cooperating Ministries (ICM), iliyogunduliwa na Mchungaji Dick Woodward. MBC ina zaidi ya lesoni 215 za masomo ya kibinafsi yaliyowekwa kwa njia ya sauti na pia kwenye vijitabu vilivyochapishwa. mafundisho ni pamoja na utafiti mzima wa agano la Kale na Jipya, na pia katika utafiti wa kina ya Mahubiri ya Mlimani, ndoa na familia. Dick Woodward aliwahi kuwa mchungaji mkuu wa Virginia Beach Community Chapel, katika Virginia Beach, Virginia, na Williamsburg Community Chapel katika Williamsburg, VA. Mwaka 1982, wakati Mchungaji Woodward alipatikana na ugonjwa nadra wa uti wa mgongo, alianza kujenga MBC. Katika miaka ya mwanzo wa (1990s), wakati yeye alikuwa hana uwezo wa kikamilifu wa uchungaji, Mchungaji Woodward akawa Mchungaji Emeritus ya Williamsburg Community Chapel. Hata hivyo, kuwa mlemavu haukumfanya kuacha kazi ya Mungu kupitia njia ya maisha ya kuwa Mchungaji Woodward. Aliendelea kuandika barua (kupitia program ya sauti ilioamilishwa kwa kompyuta), mshauri, na kuhudumia watu wengi kwa miaka 20 iliyofuata mpaka Mungu alipoona ni vyema kumwita "nyumbani" mnamo Machi 8, 2014. Kitabu chake cha karibuni, Marketplace Disciples ,kilichapishwa mwaka 2013 Disemba.

Ministries

Email Sign-up

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Required information missing