Kabla ya kuanza Kerus pamoja na mwenzake, Daktari Ball alikuwa profesa katika idara ya sayansi za kiafya kule James Madison University Harrisonburg, Virginia aliko simamia ofisi ya kuzuia matumizi ya mihadarati na masomo ya kimataifa katika afya . Alifunza madarasa kadhaa kuhusu elimu ya afya na kuanza madarasa za kufunza huduma zinazofunzwa kule Honduras na Haiti. Daktari ball ana miaka kumi na moja katika ujuzi wa Elimu na ametayarisha miradi za zilizopewa na serikali zinazojihusisha na kuzuia tabia hatari za vijana.

Email Sign-up

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Required information missing