Kasisi J. Mark Horst alijiunga na Heralds of Hope Julai, mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na nne. Alishauriwa na kuongozwa kwa miaka sita na marehemu Daktari J. Otis Yoder ili awe mrithi wake. Kufuatia wakati huu, aliteuliwa katika huduma mwezi Mei mwaka wa elfu mbili na moja na kwa sasa ndiye Mwalimu wa bibilia katika Hope for Today.

Ministries

Email Sign-up

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Required information missing