Daktari J. Otis Yoder alikua mwanzilishi wa Heralds of Hope, Inc. na mtayarishi wa vipindi vya Hope for Today. Kama Profesa wa zamani chuoni, alianzisha Herald of Hope mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na saba, na kuacha kuta nne za darasa kwa huduma ya radio kwa ulimwengu usiokuwa na kuta. Alihudumu kama mwalimu wa bibilia kwenye redio kuanzia Juni mwaka wa elfu moja mia tisa sitini na nane hadi Machi elfu mbili. Aliaga dunia Julai tarehe kumi na nane, Mwaka wa elfu mbili na tatu.

Ministries

Email Sign-up

Sign up for the TWR360 Newsletter

Access updates, news, Biblical teaching and inspirational messages from powerful Christian voices.

Thank you for signing up to receive updates from TWR360.

Required information missing