Harold Williams alikuwa mchungaji kwa kipindi cha miaka sita kabla ya kukubali mwito wa kuhudumu katika wadhifa wa mkuu Taasisi ya kibaptiste na seminari na wakati huo huo akihudumu kama mkufunzi na mwalimu wa kitengo cha kimishenari kwa miaka 15. Ameyasaidia makanisa mengi nchini Marekani na hata ng’ambo katika zaidi ya makongamano 300 ya kimishenari,akifundisha kanuni za kimsingi kuhusu ahadi ya Imani. Mmishenari kwa mwito,yeye anahudumu kote duniani panapopatikana fursa. Hushauriana na wamishenari na kuandaa warsha,makongamano ya kufundisha bibilia na kueneza neno la Mungu ,huku akiwatia hima watumishi wa Mungu na kushiriki na wamishenari na wachungaji kote duniani kuhusu kanuni za undani wa neno la Mungu. Harold Williams ni kiongozi wa huduma ya kimishenari ya Macedonia Call na kusimamia pia kitengo cha vipindi vya redio ambavyo hurushwa kupitia Trans World Radio kwa pembe tofauti za ulimwengu.

Ministerios

Registro de correo electrónico

Regístrate para recibir el Boletín de RTM360/TWR360

Accede a actualizaciones, noticias, enseñanzas bíblicas y mensajes inspiradores de personajes cristianos reconocidos.

Gracias por suscribirte a las actualizaciones de RTM360/TWR360.

Falta información requerida

This site is protected by reCAPTCHA, and the Google Privacy Policy & Terms of Use apply.