Hadithi Hai za Biblia: Kitabu 19: Yona
0: Yona Kitabu
Je umewahi kufikiri jinsi ingekuwa kukutana na manabii mashuhuri ambao walipata jumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu,na watu ambao walipewa jumbe hizi za kufurahisha? Nabii Yona aliishia kwa meli iliyokumbwa na kimbunga na Mungu alimwokoa yeye na watu wa Nineve katika njia za ajabu,hata ingawa hawakustahili upendo na huruma ya Mungu. Mungu anakualika uachane na dhambi zako na tabia ya kutotii,na ana hamu ya kutusamehe na atatusaidia tu ikiwa tutamwanini.