Sherehe

Katika kipindi cha mwisho, wanakijiji wanasheherekea ushindi wao mkubwa kutokana na wanyama wa pori. Katika sherehe, watu binafsi wanahaidi kuwa watasaidia katika kufanya wanakijiji wote waishi pamoja kama jamii!