Heri waliosamehewa makosa yao,na waliositiriwa dhambi zao.Heri mtu Yule ambaye Bwana hamhesabii dhambi.Je? uheri huo ni kwa waliotahiriwa , au kwa hao pia
wasiotahiriwa?Kwa kuwa twanena ya kwamba kwake Ibrahimu Imani yake
ilihesabiwa kuwa ni haki.Alihesabiwaje basi?