Kwenye kipindi kilichopita tuliongelea akubwa kuhusu jinsi ya kuishi maisha ya ukristo.Kwa wale ambao hamukuwa nasi kweye somo lililopita tulisoma aya za 13 na 14 za sura ya 6 ya Warumi. wala msiendelee kuvitoa vungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi,bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.