Kwenye kipindi kilichopita tuliongelea akubwa kuhusu jinsi ya kuishi maisha ya ukristo.Kwa wale ambao hamukuwa nasi kweye somo lililopita tulisoma aya za 13 na 14 za sura ya 6 ya Warumi. wala msiendelee kuvitoa vungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi,bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.
Wale wa agano la kale na agano jipya.Ninachokuuliza nikifunga somo hili ni kwamba je? Umehesabiwa haki kwa sababu ya Imani yako? Na hiyo Imani ulipata kwa misingi ya wokovu?
Hebu fikiria wenye dhambi wakiwa wamesimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.Lakini kwa mwaminio Mungu anapomtizama anaona damu ya Yesu Kristo ,mbaye kwaye tulihesabiwa haki.Na nikkitamatisha somo hili nakuliza je?
"Tulielezea jinsi madini ya almasi yalivyoumbwa kutokana na mbinyo kutoka pande sote hadi utakapopata kitu kipya cha thamani baada ya kipindi kirefu kama vile hiyo almasi au mkaa wa mawe na hata dhahabu."
Naam sura ya 6 ya Warumi itaingia kwa undani kwenye swala
hili.Hatutaendelea nalo kwa sasa.Ukweli hata hivyo ni kwamba MUngu aliona haja
ya mwanadamu na kukutana na hitaji lake.Je? Si jambo la ajabu kwamba tunaye
ambaye tunaweza kumgeukia kwa mahitaji yetu,hasa ya kiroho?