Himizo langu kwako mpendwa ni kwamba mkumbatie Kristo na utubu dhambi zako ili akuokoe.Hiyo ndio njia ya pekee ya kuwa na Imani na
Mungu.Na ndicho kiini cha somo letu katika sura ya 5 ya kitabu cha
Warumi.Mbona usimkubali Kristo aoko Maisha yako?
Tunamshukuru Mungu kwa kipawa hiki.Naomba tukamilishie hapa somo letu hadi kipindi kijacho.Lakini nina swali dogo tu.Ushampa Yesu maisha yako ili ujihakikishie uzima wa mildele? Umeokoka?
Naam sura ya 6 ya Warumi itaingia kwa undani kwenye swala
hili.Hatutaendelea nalo kwa sasa.Ukweli hata hivyo ni kwamba MUngu aliona haja
ya mwanadamu na kukutana na hitaji lake.Je? Si jambo la ajabu kwamba tunaye
ambaye tunaweza kumgeukia kwa mahitaji yetu,hasa ya kiroho?
Naomba nikamilishe somo hli kwa leo kwa kukuuliza swali
rahisi sna.Umeshmpokea Krio kuwa mwokozi wakozi wako? Una uhakika ni wapi
utaishi maisha yako ya umilele.Itakuwa kwenye mateso kule jehenamu au na Kristo
huko Paradiso.?