Mpendwa tunaendelea na somo letu ,ambapo tunakaribia kumaliza aya ya 5.Na
kwa sasa ningependa niseme somo hili limekuwa la kuridhisha na la kufahamisha
mengi.
Naam sura ya 6 ya Warumi itaingia kwa undani kwenye swala
hili.Hatutaendelea nalo kwa sasa.Ukweli hata hivyo ni kwamba MUngu aliona haja
ya mwanadamu na kukutana na hitaji lake.Je? Si jambo la ajabu kwamba tunaye
ambaye tunaweza kumgeukia kwa mahitaji yetu,hasa ya kiroho?
Naomba nikamilishe somo hli kwa leo kwa kukuuliza swali
rahisi sna.Umeshmpokea Krio kuwa mwokozi wakozi wako? Una uhakika ni wapi
utaishi maisha yako ya umilele.Itakuwa kwenye mateso kule jehenamu au na Kristo
huko Paradiso.?