Baadhi yetu hufikiria ya kwamba Imani yetu ni kikwazo wengine hufikiria na kuwaza waza kuwa Imani ni hali ya akili tu lakini tukubali ya kwamba maisha yetu na uammuzi wetu hutegemea namna ya Imani ilivyo na nguvu na uweza wa kuyatenda mabo ya ajabu kwa utukufu wake mungu. twahitaji mazoea ya Imani anza kujifunza kujiombea kwa Imani maana hata kabal ya kuomba mahitaji yetu tayari anayajua n ahata majibu na sulihisho zimo na hutoka kwake mugnu wetu maana hata roho mtakatifu wa mungu hutuombea na kutusaidia katika udhahifu wetu kwa maana hatujui kwamba jinsi itupasavyu lakini roho mwemyewe hutuombea kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Yeye aichungizaye mioyo aijua nia na roho iliyo kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo mungu.
JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZI
Ongeza kwa yaliyokupendeza