Katika karne ya kumi na sita kanisa lilikuwa chini ya mamlaka ya serikali na sauri ya ukweli wa neno la mungu haikusikika sahihi ingawa kulikuwa na kundi ndogo lilozingatia ukweli wa neno la mungu sauti ya kanisa ilikuwa chini wakristo wakaanza kuwa na tashwishi na ni lipi hilolillilokuwa kweli, kukawa na mgawanyiko lakini umoja kwa upole na utaratibu ulitafutwa kwa udi na uvumba kuutafuta umoja ni jambo muhimu