kinyonga hubadili rangi ya ngozi kulingana na kuambatana na mazingira yaliyomo na kwa njia huyo hujificha na adui zake watu wengi ni kama kunyonga Imani zao hutegemea mazingira na maslahi ya mtu lakini sharti lazima tusimame imara katika Imani . tusimame wima