".Tumaini hilo linatupatia subira ya kufahamu kwamba ajapo tena Kristo kunyakua kanisa lake ;waumini wake ;wateule wake tutakuwa tayari kumlaki.Tutakuwa tumeandaliwa kiimani kumpokea"
"Hebu sasa tuchunguze usemi huu..,kwa maana tulipokuwa adui tulipatanishwa
kwake Mungu kupitia kifo cha mwanawe.Hii inamaanisha kuwa kulikuwa na wakati
ambapo tulitengwa na Mungu.Tulikimbia uwepo wake."
NI dhahiori kuwa MUngu Baba alioridhika na deni la dhambi ililolipwa.Na wakati Yesu alikata Roho msalabani alisema Baba imekwisha.Je? Niulize swali? Ni nini kilikwisha?
Katika somo la leo tunanukuu injili ya Yohana 19:14 ambayo inazungumzia
kwamba kwa kuwa mimi ninaishi,nanyi pia mtaishi.Na kwa sababu alikufa ,hata nasi
tulikufa na kufufuka naye,wakati alipofufuliwa kutoka wafu.