Kwenye kipindi kilichopita tuliongelea akubwa kuhusu jinsi ya kuishi maisha ya ukristo.Kwa wale ambao hamukuwa nasi kweye somo lililopita tulisoma aya za 13 na 14 za sura ya 6 ya Warumi. wala msiendelee kuvitoa vungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi,bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.
Wale wa agano la kale na agano jipya.Ninachokuuliza nikifunga somo hili ni kwamba je? Umehesabiwa haki kwa sababu ya Imani yako? Na hiyo Imani ulipata kwa misingi ya wokovu?
Katika somo la leo tunanukuu injili ya Yohana 19:14 ambayo inazungumzia
kwamba kwa kuwa mimi ninaishi,nanyi pia mtaishi.Na kwa sababu alikufa ,hata nasi
tulikufa na kufufuka naye,wakati alipofufuliwa kutoka wafu.
"Tulielezea jinsi madini ya almasi yalivyoumbwa kutokana na mbinyo kutoka pande sote hadi utakapopata kitu kipya cha thamani baada ya kipindi kirefu kama vile hiyo almasi au mkaa wa mawe na hata dhahabu."