Ikiwa ni Mungu alisema .hivyo katika neno lake bila shaka ni kweli.Inagharimu imani
kubwa kuliamini ndeno la Mungu lililo kweli.Vishawishi na mahangaiko ya hapa
duniani vyote vinakinzana na imani yetu;tumaini tulilo nalo
Mpendwa tunaendelea na somo letu ,ambapo tunakaribia kumaliza aya ya 5.Na
kwa sasa ningependa niseme somo hili limekuwa la kuridhisha na la kufahamisha
mengi.
Hatutaendelea nalo kwa sasa.Ukweli hata hivyo ni kwamba MUngu aliona haja ya mwanadamu na kukutana na hitaji lake.Je? Si jambo la ajabu kwamba tunaye ambaye tunaweza kumgeukia kwa mahitaji yetu,hasa ya kiroho?